Tuesday, September 25, 2007

PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE

President of the united republic of Tanzania together with the president of the United States of America and his wife.
President of the united republic of Tanzania together with the former president of tha United States of America President of the united republic of Tanzania together with the the president of Belgium

President of the united republic of Tanzania together with the prime minister of the United Kingdom President of the united republic of Tanzania together with Bill Gates
President of the united republic of Tanzania together with the leaders of Tanzanians Diaspora in USA Inc.(TADI)Tukio la kukumbukwa lilitokea siku ya Jumapili 23,2007 mjini New York katika hoteli ya Grand Hyatt ambapo Rais Jakaya Kikwete,alikutana naWatanzania nane kuzungumzia uundwaji wa chombo kitakachowaunganisha Watanzania wote walioko Marekani na baadaye duniani kote katika juhudi za kupigania maslahi ya Tanzania. Kutoka kushoto ni Mary Mitchell, Mobhare Matinyi, Deogratias Rutabana,Namtasha Ikaweba, Shaaban Mseba, Augustino Malinda na Yasin Njayagha.Aliyekingwa na Rais ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano waKimataifa, Bernard Membe. Mtanzania mwingine, Miraji Malewa kwa bahati mbaya alikingwa na mwenzake aliye kushoto kabisa mwa picha. Kufuatia wito huo wa Rais Kikwete tangu mwaka jana, ndoto ya siku nyingi ya Watanzania hao ilipata msukumo na hatimaye kuundwa uongozi wa muda wa Tanzanians Diaspora in USA INC.(TADI) na kupata baraka zote za serikali ya Jamhuri wa Muungano waTanzania. Tanzania ni moja ya nchi za Afrika zenye wananchi wake wengi nchini Marekani ambapo kwa takwimu zisizo rasmi, imepitwa na nchi nne tu za Nigeria, Ethiopia, Ghana na Kenya.
Pia vingozi mbali mabali kutoka Tanzania wakiwemo mawazili na barozi walipata mda wa kujumuika na waazilishi wa TADI,kama unavyojionea katika picha.
Viongozi na waazilishi wa Tanzanians diaspora in USA Inc.(Tadi) ni wafuatao:

Yassin Njayagha-Rais

Deogratias Rutabana-Makamu wa Rais

Augustino Malinda-Katibu Mkuu

Shaban Mseba-Katibu Mkuu Msaidizi

Jacquline Abebe-Mweka Azina

Mayor Mlima-Mweka hazina msaidizi

Wakurugenzi wa Bodi:

Miraji Malewa

Mobhare Matinyi

Mary Mitchell

Namtasha Buntinyi

Bernard Mgawe

David Mushi

Michael Chiume

No comments: