Monday, September 3, 2007

PAMBANO LA MPIRA WA MIGUU KATI YA TANZANIA NA UGANDA

Hivi ndiyo mambo yalivyokuwa katika pambano la mpira wa miguu kati ya Tanzania na Uganda.Pambano lilifanyikia katika uwanja wetu mpya wa taifa siku ya jumamosi tarehe 1/9/2007 saa mbili usiku.Uwanja huu mpya na wakisasa,umekuwa kivutio ndani na nje ya Tanzania.
Tanzania ilifanikiwa kuifunga Uganda goli moja kwa bila(1-0)



1 comment:

Anonymous said...

THAT IS MOVING IN THE RIGHT DIRECTION. THE NEW SOCCER STADIUM IF FULLY UTILIZED COULD MEAN A LOT TO THE COUNTRY.