Friday, August 10, 2007

WAKIMBIZI WAANZA KUREJESHWA MAKWAO


Magari ya umoja wa mataifa yakiwarejesa kwa hiyari mipakani mwao wakimbizi wa Kongo na Burundi.Wakimbizi nchini Tanzania wameanza kurudishwa makwao

No comments: