UFUNGUZI WA SHINA LA CCM -MISSOURI
CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM KITAFUNGUA SHINA LAKE LA KWANZA NCHINI MAREKANI KWENYE JIMBO LA MISSOURI .
SHEREHE ZA UFUNGUZI ZITAFANYIKA TAREHE 13/09/2008 KUANZIA SAA NANE MCHANA. SIKU YA UFUNGUZI WOTE MNAKALIBISHWA,NA WOTE WATAKAOTAKA KUWA WANACHAMA KUANZIA SIKU HIYO WANATAKIWA KUWA NA PICHA MOJA (PASSPORT SIZE) PAMOJA NA DOLA TATU TU. CARD KWA WANACHAMA WAPYA ZITAPATIKANA SIKU HIYO HIYO.
SHEREHE ZA UFUNGUZI ZITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA:
COVES CLUB HOUSE
5417 NW 85TH STREET
KANSAS CITY,MO 64154
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA
DEOGRATIAS RUTABANA 816-812-5495
KENNEDY MALLYA 816-255-4944
WOTE MNAKALIBISHWA-KUTAKUWA NA VINYWAJI BAADA YA SHUGHULI ZOTE.
KIINGILIO BURE!!!!!!!!!!!!!
AKHASANTE